JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wabunge washauri wadau wa habari kujipanga kwa hoja

Mbunge wa Kigamboni Faustine Ndungulile, amewashauri wadau wa Haki ya Kupata Habari (CoRI), kujipanga kwa hoja ili watakapokutana na wabunge watoe ufafanuzi kuhusu mabadiliko ya sheria ya habari wanayoyataka. Hayo ameyasema wakati alipokutana na wadau hao mkoani Dodoma wakati akizungumzia…

Wabunge waelewa mchakato wa mabadiliko sheria ya habari

Mbunge wa Mlalo (CCM), Rashidi Shangazi, mkoani Tanga ameahidi kushirikiana na wadau wa habari kuhakikisha tasnia hiyo inakuwa na sheria bora. Ameyasema hayo wakati alipokutana na timu ya Wadau wa Haki ya Kupata Habari (CoRI), jijini Dodoma jana. Shangazi ambaye…

Chuo cha Taifa cha Utalii chafanya mdahalo kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano

Na Hughes Dugilo, JamhuriMedia, Dar Kaimu Mkuu wa chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Dkt. Florian Mtey amesema katika kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha Sekta ya Utalii inaendelea kuchangia…

Makamba:Bwawa la Nyerere lafikia ujazo wa lita bilioni 6 za maji

Waziri wa Nishati January Makamba amesema wanaridhishwa na kasi ya Ujazaji maji Bwawa la kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere Hydro Power. Kwa sasa ujazo wa maji umefika lita Bilioni Sita huku kukiwa kumebaki mita kumi na tatu tu, kufikia Kiwango…

Watoto mapacha wafariki baada ya kutumbukia kwenye lambo

Watoto wawili ambao ni mapacha wenye umri wa mwaka mmoja na miezi sita wamepoteza maisha baada ya kutumbukia kwenye lambo la maji yaliyokuwa yametuama mita chache kutoka kwenye nyumba yao wakati wakicheza. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Wilbroad Mutafungwa,amethibitisha…

Serikali: Utatuzi wa changamoto za Muungano haujakwama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis amesema suala la utatuzi wa changamoto za Muungano halijakwama wala halijasuasua. Amesema hayo jana wakati akijibu swali la Mbunge wa Same Magharibi…