Category: Habari Mpya
Watu milioni 2.9 hupoteza maisha Kutokana na magonjwa,ajali kazini
Na Dotto Kwilasa ,JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi Ajira na Wenye ulemavu Profesa.Joyce Ndalichako amesema zaidi ya watu milioni 2.9 kwa mwaka hupoteza maisha kutokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi hali inayochangia jamii kupoteza…
Majaliwa:Serikali imetenga bil.9.9 za ujenzi wa vituo saba vya zimamoto na uokoaji
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 9.93 katika bajeti ya mwaka 2023/2024 kwa ajili ya kukamilisha miradi ya ujenzi wa vituo saba vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Amesema kuwa vituo hivyo vitajengwa katika Mikoa ya Songwe,…
Hatimaye, ndoto ya mtoto Hamimu ya kukutana na Rais yatimia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hayawi, hayawi… sasa yamekuwa. Ndoto ya mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) aliyokuwa akiililia kwa muda mrefu ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye imetimia. Hamimu, ambaye alilazwa kwenye Hospitali ya Taifa ya…
Waziri Jafo aasa Watanzania kudumisha amani ili kuenzi muungano
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) ameongoza wananchi wa Mkoa wa Iringa katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuhimiza Watanzania kuuenzi Muungano kwa kudumisha Amani. Akizungumza na wananchi wa mkoa…