JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wafanyakazi TASAF watakiwa kuzingatia maadili

Wafanyakazi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), wametakiwa kufanya kazi kwa ueledi na kuzingatia maadili huku wakiepuka ubaguzi wa aina yoyote katika utekeleaji wa majukumu yao. Hayo yamesemwa leo Alhamisi Aprili 27, 2023 na Katibu Mkuu Ikulu, Mululi Mahendeka…

Vivutio vya Tanzania vyavutia wengi nchini Malawi

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) inashiriki katika onesho la Nne la Takulandirani Malawi International Tourism Expo kwa lengo la kutekeleza mkakati wa ushirikiano wa kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo Katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC…

Mchengerwa: Ajira 231 za Rais Samia kutatua kero ya tembo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa, leo April 26, 2023, Mlele, Mpanda, mkoani Katavi, amefunga mafunzo ya askari 231 wa Jeshi la Uhifadhi akisema ajira hizo zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan,…

Wanne wauawa kwa tuhuma za ujambazi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Jeshi la Polisi Mkoani hapa limewathibiti majambazi wanne wa kiume ambao majina yao bado hayajatambulika wenye umri kati ya 25-30 waliokuwa katika harakati za kufanya tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha nyumbani kwa  Edna Joseph…

Watu milioni 2.9 hupoteza maisha Kutokana na magonjwa,ajali kazini

Na Dotto Kwilasa ,JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi Ajira na Wenye ulemavu  Profesa.Joyce Ndalichako   amesema zaidi ya watu milioni 2.9 kwa mwaka  hupoteza maisha kutokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi hali inayochangia jamii kupoteza…