Category: Habari Mpya
TMA yatoa angalizo la mvua kubwa kwa mikoa nane
Mahakama ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa katika mikoa nane itakayonyesha kwa siku tatu kuanzia kesho Aprili 29 hadi Mei Mosi 2023. Taarifa iliyotolewa na TMA leo Aprili 28, 2023 angalizo hilo la…
Yaliyojiri ziara ya Katibu Mkuu CCM China
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, pamoja na ujumbe wake Tarehe 17 hadi 28 Aprili, 2023 amefanya Ziara ya Kikazi na Mafunzo nchini China, ambapo walitembelea majimbo matatu (3) ikiwemo Beijing, Hebei, na Guandong. Ziara hii…
Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto wa kufikia
Mahakama ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani imemuhukumu Dickson Chilongola (37) kabila Mkaguru ambaye ni fundi wa kuchomelea vyuma ambaye ni mkazi wa Zegereni Mlandizi Wilayani Kibaha Mkoani Pwani hukumu ya kwenda jela maisha , viboko 12 na kulipa fidia…
NMB yashiriki wiki ya ubunifu 2023 Dodoma
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati – Nsolo Mlozi akimueleza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule alipotembelea banda lao kuhusu masuluhisho yao ya kidijitali katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma. Wafanyakazi wa benki ya NMB wakiwa kwenye…
Majaliwa:Itumieni kampeni ya huduma ya msaada wa kisheria ya mama Samia
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuitumia kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kutoa taarifa kuhusu uwepo wa watu, au vikundi vya watu ambao ama wanajihusisha na ukatili wa kijinsia hususan kwa watoto. Ametoa wito huo…
Maamuzi magumu ya Rais yalivyookoa Watanzania 200 Sudan
*Aagiza operesheni maalumu iliyofanikisha kuwarejesha Watanzania nyumbani * Tanzania pia ilisaidia kuokoa raia wa mataifa mengine, ikiwemo Marekani, Uingereza, Kenya, Uganda, Sierra Leone, Malawi, Zambia na Msumbiji Ujasiri, maamuzi magumu na ya haraka ya Rais Samia Suluhu Hassan yamefanikisha kuokolewa…