JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Waenda jela miaka 20 kwa ujangili wa Twiga, wakutwa na shehena ya nyama Burunge

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Mahakama ya  Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara imewahukumu kwenda jela miaka 20 kila mmoja wakazi wawili Babati mkoani Manyara baada ya kutiwa hatiani katika kesi ya uhujumu uchumi, baada ya kukamatwa wakiwa wameuwa Twiga…

‘Bajeti Kuu ya Serikali kuwezesha nishati safi kupikia na wanawake’

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefungua Mkutano wa Nishati Safi ya Kupikia Barani Afrika unaofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO jijini Paris, Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024. Katika hotuba yake ya ufunguzi…

FCS, TradeMark Afrika wakubaliana kuboresha mazingira wezeshi ya kibiashara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Foundation for Civil Society (FCS) na TradeMark Africa wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha mazingira wezeshi na jumuishi ya kibiashara kuhakikisha wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wanajumuishwa kikamilifu katika uendeshaji…

Watoto 2, 180, 313 wapata chanjo ya Penta3 nchini

Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imefanikisha kutoa chanjo ya Penta3 kwa watoto 2,245,722 ndani ya kipindi cha mwezi Julai 2023 hadi Machi 2024. Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema hayo Bungeni jijini Dodoma Mei 13,…

Daftari la wapiga kura kuanza kuboreshwa Julai mwaka huu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utafanyika tarehe 01 Julai, 2024 mkoani Kigoma na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa…