JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ajali zapungua kwa asilimia 61

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP. Ramadhani Ng’anzi amesema katika kipindi cha miezi mitatu, kutoka Januari hadi Machi 2023 ajali za barabarani zimepungua kwa kiasi kikubwa kwa asilimia 61% huku akibainisha kuwa vifo vinavyotokana na ajali hizo vimepungua…

Chamwino kuinuka kwa utalii kwa kihistoria

……………………… Na Sixmund J. Begashe, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Mambo ya Kale imeendelea kuweka mikakati yake ya kuainisha maeneo ya Ķihistoria yaliyopo wilaya ya Chamwino kwa lengo la kuyatangaza kiutalii ili kwenda sambamba na…

Jamii yashauriwa kuchangia damu kwa hiari

Na Mussa Augustine., JamhuriMedia Jamii imeshauriwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwa hiari ili kusaidia watu wenye uhitaji wakiwemo akina mama wajawazito, wagonjwa wa saratani pamoja na wagonjwa mbalimbali waliolazwa hospitali. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam April 30,2023…

MSD Kanda ya Kati yateta na wadau wake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Kati Dodoma imekutana na wadau na wateja wake wakiwemo waganga wakuu, wafamasia na watendaji wa halamshauri kuhakikisha wanajadili uboreshaji wa huduma za afya na upatikanaji wa dawa na vifaa tiba…

Koka:Asilimia 80 ya rasilimali fedha kutatua changamoto za elimu Kibaha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini,Silvestry Koka amejielekeza kupeleka nguvu ya raslimali fedha katika sekta ya elimu kwenye kata zote kwa asilimia 80 . Amesema ,anatambua sekta ya elimu Kuwa ni mkombozi na urithi namba moja…