JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wanawake TUICO wapigwa msasa na NMB Mkononi Morogoro

Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa benki ya NMB, Joanitha Mrengo(Kulia) akizungumza na Naibu Katibu Mkuu TUICO, Takim Salehe(Kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Mashirika ya Fedha TUICO, Peles Jonathan Hageze(Katikati) baada ya kufungua semina ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wanawake…

Aliyemtukana Rais Samia atupwa jela miaka sita Chato

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Msanii wa nyimbo za asili ya Kisukuma,Dawa Juma,mkazi wa kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita,amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya shilingi milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana…

TPA yaibuka kinara wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi kwenye sekta ya umma

Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeibuka kinara wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi kwenye Sekta za Umma na hivyo kukabidhiwa  tuzo kwenye kilele cha Maadhimisho ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usalama na…

CCM Zanzibar yampongeza Rais Dkt.Mwinyi kupandisha viwango vya pensheni kwa wastaafu

NA IS-HAKA OMAR, JamhuriMedia, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kinampongeza kwa dhati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi,kwa maamuzi yake ya kupandisha viwango vya pencheni za wastaafu pamoja pencheni jamii kwa wazee wenye umri wa…

Rais Samia aagiza waajiri kuwasilisha michango ya wafanyakazi Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

Na Mwandishi Wetu, Morogoro Rais Samia Suluhu Hassan, ameagiza Waajiri kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii mara moja ili wapate stahiki na haki zao. Akihutubia kwenye maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi Kitaifa 2023 Mjini Morogoro,…

Rais Samia: Wafanyakazi wana mchango katika ustawi wa taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyakazi wakati wa Sherehe ya Mei Mosi ambazo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro tarehe 01 Mei, 2023. ……………………………………………………………………………….. Na Immaculate Makilika – MAELEZO…