JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Katambi afafanua mfumo wa kuwalipa kiinua mgongo wazee

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema serikali inazingatia watanzania wote wanaojenga nchi yao na imeweka utaratibu wa kupata pensheni kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa waajiriwa na waliopo kwenye…

Waziri Mkenda atoa wito kwa watahiniwa wanaoanza mitihani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa watahiniwa wanaoanza mitihani kuzingatia masharti na taratibu zote za mitihani.  Waziri Mkenda ametoa wito huo jijini Dodoma wakati akitoa salamu za kheri kwa…

Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bila malipo

Na Catherine Sungura, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka akina mama wajawazito wanaofika kwenye Kliniki za Uzazi, Mama na Mto kupimwa wingi wa damu, mkojo kuangalia wingi wa protini, shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo…

TRA yazindua kampeni ya’Tuwajibike’ yakumbusha kudai na kutoa risiti

Na Mussa Augustine, JamhuriMedia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imezindua rasmi kampeni inayojulikana kwa jina la ‘Tuwajibike’ yenye lengo la kuwakumbusha na kuwahamasisha wauzaji bidhaa na wanunuzi kutoa na kudai risiti halali za EFD. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati…