Category: Habari Mpya
Othaman:Utawala wa haki suluhisho la mitafaruku ya kisiasa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, ametaja Utawala wa Haki unaokidhi Misingi ya Sheria, Uadilifu na Uwajibikaji, kuwa ni suluhisho kubwa la Mitafaruku ya Kisiasa hapa Nchini. Mheshimiwa Othman ameyasema hayo leo, huko Ofisini kwake…
BRELA yawashauri wanawake wajasiriamali Masasi kusajili majina ya biashara zao
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Masasi Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imewataka wanawake wajasiriamali wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi kusajili kampuni na majina ya biashara ili biashara zao zitambulike kisheria. Rai hiyo imetolewa na Msaidizi wa Usaijili…
Majaliwa atembelea maonyesho viwanja vya Bunge Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu tiba lishe, mafuta na sabuni zinazotokana na mwani kutoka Happy Kapinga (kushoto) katika maonyesho yaliyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Mei 2, 2023. Kulia kwake ni Waziri…
NGOs: Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania
Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili iliyopita, yakisema kuwa Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania kwenye uchumi, demokrasia na maendeleo ya jamii. Umoja wa Mashirika Yasiyo…
Tanzania yaomba kuwa makao makuu ya AUSC
…….………….. Na Brown Jonas, WUSM Arusha Tanzania ipo tayari na imeomba ridhaa ya kuwa Makao Makuu ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya Nne (AUSC) kwa wajumbe wa mkutano wa wataalamu wa michezo kutoka katika kanda hiyo….