Category: Habari Mpya
Tume maalumu itasaidia mageuzi sekta ya mifugo na uvuvi nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ametoa maombi mawili katika kuboresha sekta ya uvuvi na mifugo moja ikiwa ni kuwa na tume maalum itakayoratibu rasilimali za mifugo kwenye halmashauri. Ombi la pili ni kwa wizara…
TanTrade yapendekeza mkataba wa ruzuku WTO uzingatie wavuvi wadogo
Na David John, JamhuriMedia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imependekeza kuwa mkataba wa ruzuku za uvuvi wa WTO uzingatie wafanyabiashara na wavuvi wadogowadogo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Biashara TanTrade Freddy Liundi jijini Dar es…
Kibaha walalamikia huduma ya mabasi ya mwendokasi, Kunenge afanya ziara
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa mkoa wa Pwani alhaj, Abubakar Kunenge amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mazingira ya Kituo cha Mabasi kibaha (Kibaha Bus Terminal), ambapo amepokea kero ya kuchelewa kufika kwa Mabasi ya Mwendekas kituoni hapo…
Waziri Jafo azindua miradi Mvomero
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewataka wananchi kulinda miradi ya maendeleo, hifadhi ya mazingira kwa kupanda miti pamoja na kulinda uoto wa asili ili iendelee kudumu. Ametoa rai hiyo leo…
Othaman:Utawala wa haki suluhisho la mitafaruku ya kisiasa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, ametaja Utawala wa Haki unaokidhi Misingi ya Sheria, Uadilifu na Uwajibikaji, kuwa ni suluhisho kubwa la Mitafaruku ya Kisiasa hapa Nchini. Mheshimiwa Othman ameyasema hayo leo, huko Ofisini kwake…