Category: Habari Mpya
Jenerali Mabeyo:Tuongeze jitihada za kufanya utafiti wa kutokomeza mimea vamizi
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NCAA Jenerali Venance Mabeyo (mstaafu) ametoa rai kwa wataalam wa masuala ya uhifadhi kuongeza jitihada na mbinu mbalimbali za kiutafiti zitakazosaidia kupunguza changamoto za mimea vamizi katika maeneo ya hifadhi. Jenerali Mabeyo ametoa rai…
AZAKI za Afrika Mashariki zijikite kuinua uchumi wa wananchi wa chini
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia,Arusha Serikali imesema itaendelea kukuza ushirikiano na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kwa kutunga sera ambazo zitakuwa chachu ya ukuaji wa uchumi katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Aidha Jumuiya ya Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ukanda…
Mji wa Kherson watangaza amri ya kutotembea nje kwa saa 58
Mji wa Kherson ulioko karibu na eneo la mapambano kusini mwa Ukraine, umetangaza amri ya kutotoka nje kwa saa 58 kuanzia Ijumaa jioni. Hayo yameelezwa leo na mkuu wa utawala wa kijeshi wa Kherson, Oleksandr Prokudin, wakati ambapo vikosi vya…
BoT yaipongeza NMB kuwa kinara miongoni mwa benki 44 bora Tanzania
……………………………. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imeipongeza Benki ya NMB kwa kuwa kinara miongoni mwa mabenki 44 nchini kwa ubunifu wa kuchangia ukuaji wa sekta ya fedha kwa kutanua mtandao wa matawi, hivyo kuongeza idadi ya watanzania wanaotumia huduma za…
Tanzania yateuliwa kuingia Kamisheni ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dk.Albina Chuwa amesema Tanzania imeteuliwa kuingia kwenye kamisheni ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa kuanzia mwakani kuungana na nchi nyingine 24 Duniani. Dk.Chuwa ameeleza hayo jijini hapa leo Mei 3,2023 katika ufunguzi…
Rais Mwinyi ataka tasnia ya habari kuweka mkazo kwenye uhuru wa kujieleza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa tasnia ya habari kuitumia fursa ya maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kuweka mkazo kwenye uhuru wa kujieleza ndani ya…