Category: Habari Mpya
Wanne wa familia moja wafariki kwa kuungua na moto
Watu wanne wa familia moja Kijiji cha Malola B Kata ya Malola Tarafa ya Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro wamefariki baada ya nyumba waliokuwa wakiishi kuungua moto usiku wa kuamkia Mei 5, 2023. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa…
Mradi wa shule bora utakavyoboresha ufundishaji KKK, kupunguza utoro Pwani
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Pwani Jamii mkoani Pwani ,imeaswa kujenga tabia ya kufuatilia maendeleo ya masomo ya watoto wao ngazi ya shule za awali hadi msingi ,ili kuwajengea uwezo wa kujua Kusoma ,Kuandika na Kuhesabu . Hatua hiyo ,itasaidia kupunguza changamoto…
Wadau watakiwa kupaza sauti kuhusu biashara haramu ya kusafirisha binadamu
Serikali imewataka wadau na jamii kupaza sauti kuhusiana na biashara haramu ya kusafirisha binadamu ili Serikali iweze kujua na kuchukua hatua kali kwa wahusika. Hayo yameelezwa leo Mei 4,2023 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya…
Majaliwa mgeni rasmi kongamano la kumbukizi ya miaka 101 ya Mwalimu Nyerere
Makamu mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bw.Peter Mavunde,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Mei 4,2023 jijini Dodoma kuelekea katika kongamano la kumbukizi ya miaka 101 ya kuzaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Na. Gideon…
Tanzania, Indonesia kushirikiana uchimbaji madini
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameeleza kuwa, Tanzania na Indonesia zitashirikiana katika kuendeleza shughuli za uchimbaji wa madini hapa nchini ili kufungamanisha Sekta ya Madini na sekta nyingine za kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Dkt. Biteko Mei 4, 2023 jijini…
Wazee wa CCM Z’Bar wafunguka kupanda kwa pensheni
Na IS-HAKA OMAR,Zanzibar. Baeaza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar, limeeleza kuridhishwa na kasi kubwa ya utendaji wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa kuendeleza kwa vitendo azma na malengo ya Mapinduzi ya…