JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

NMB yafanya makubwa Muhimbili, yakabidhi wodi ya uzazi na vifaa

Benki ya NMB imekarabati na kukabidhi wodi ya uzazi pamoja na vifaa tiba kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ukarabati huo uliogharimu zaidi ya Shilingi Milioni 250 umejumuisha kupaka rangi jengo, kukarabati makabati, kubadilisha vyoo na kuboresha eneo la mapokezi….

Miili ya watuhumiwa wa ujambazi yatambuliwa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Miili ya watu wanne waliokufa kwa tuhuma za ujambazi Aprili 25,2023 majira ya saa 03:10 jijini hapa tayari imeshatambuliwa na kufanyiwa taratibu za maziko na ndugu zao. Kwa mujibu wa Msimamizi wa Kitengo cha kuhifadhi…

Polisi yatoa ufafanuzi kifo cha mwanafunzi UDOM

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi-Dar es Salaam Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limesema kuwa limeona mjadala katika mitandao ya kijamii ikuhusiana na kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Nusura Hassan Abdallah kilichotokea huko Mkoani Kilimanjaro. Akitoa…