Category: Habari Mpya
Halmashauri Bagamoyo kujenga jengo la utawala litakalogharimu bil.6.2- DED Selenda
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo, inatarajia kujenga jengo la Utawala lenye gharofa mbili, eneo la Ukuni kata ya Dunda, Jengo ambalo litagharimu kiasi cha sh.bilioni 6.2 hadi kukamilika kwake. Ujenzi huo utakuwa wa awamu mbili…
DCEA yakamata kilo milioni moja dawa za kulevya
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola imefanikisha kukamata jumla ya kilogramu milioni 1.96 za dawa za kulevya mwaka 2023. Katika ukamataji huo, watuhumiwa 10,522…
USAID, JET wadhamiria kupunguza migongano ya binadamu na wanyamapori, waandaa mdahalo
Na Stella Aron, JamhuriMedia,Dar es Salaam Imeelezwa kuwa ipo haja ya wananchi kuendelea kuelimishwa kuhusiana na umuhimu wa tembo ili kusaidia kulindwa kwa shoroba ambazo zina fursa nyingi kwa jamii ikiwa ni pamoja na kuwainua kiuchumi. Akizungumza wakati wa mdahalo…
Bil. 97.178/- kutumika ujenzi barabara ya Ifakara – Mbingu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Imeelezwa kuwa mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Ifakara hadi Mbingu yenye urefu wa kilomita 62.5 utatumia Bilioni 97.178 Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imebainisha kuwa Mkandarasi wa Kampuni…
Upatikanaji wa maji wafikia asilimia 66.7 Simanjiro
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Hali ya upatikanaji wa maji Vijijini katika Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara umefikia asilimia 66.7, huku kukiwa na aina 4 z vyanzo vya maji ikiwa ni pamoja na visima Virefu 76, Visima vifupi 15, mabwawa…