JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mpango afungua mkutano wa TLS Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali pamoja na wageni waalikwa wakati alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili…

Pula yaondoa mahakamani shtaka dhidi ya kampuni ya ARM

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kesi ya madai iliyokuwa imefunguliwa na kampuni ya Pula LLC na Pula Graphite Partners, dhidi ya kampuni ya African Rainbow Minerals Ltd. (ARM) ya nchini Afrika Kusini na washirika wake sita kuhusiana na kuvunja makubaliano ya…

Iran yawanyonga saba kwa mashtaka ya dawa za kulevya, ubakaji

Iran Jumatano iliwanyonga wanaume saba katika magereza mawili nje ya Tehran kwa mashtaka kuhusiana na dawa za kulevya na ubakaji, Shirika la Kutetea Haki za Binadamu limesema, na kuharakisha kile wanaharakati wanachokielezea kama msururu wa kuwanyonga watu katika kipindi cha…

Okash awakalia kooni walawiti na wabakaji, atoa onyo kali.

Na Mwamvua Mwinyi,JAMHURI MEDIA Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ,Halima Okash ,ametoa onyo kali kwa wabakaji na walawiti na kusisitiza zuio la dhamana kwa watuhumiwa hao hasa ambao wamekuwa wakijitamba wanaporejea uraiani baada ya kupata dhamana. Aidha ameeleza,atakayekutwa na hatia…

Watoto 11,000 huzaliwa na seli mundu kila mwaka nchini

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amezindua huduma za upandikizaji uloto Katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)huku akieleza kuwa Serikali imewekeza shilingi bilioni 2.7 kwenye  huduma hiyo kwa lengo la kuwasaidia…

Tume ya Haki za binadamu kuchunguza upya utata wa kifo cha Mwanafunzi wa UDOM.

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma  Kufuatia taharuki inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kuhusu kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Nusura Hassan Abdalla,Tume ya haki za binadamu na utawala bora imeazimia kufanya uchunguzi …