JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Jela miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi Kibaha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemuhukumuMangode Rajabu (23),Mkazi wa Soga,Kibaha kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi (jina linahifadhiwa). Hukumu hiyo ya kesi ya jinai namba 4/…

Tanzania kunufaika na miradi ya mazingira ya trilioni 42

. (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)  …………………………………………………………………………………………………… Tanzania inatarajia kupata miradi ya hifadhi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi ikiwemo nishati jadidifu yenye thamani ya shilingi trilioni 42.4 kwa mujibu wa Mchango wa Taifa wa Kukabiliana na Mabadiliko…

Serikali kujenga majengo ya kuhifadhi na kuhudumia zana za BBT

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imefikia uamuzi wa kutekeleza mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) unaolenga kuongeza ushiriki wa vijana katika kilimo kwa kuwapatia mafunzo, maeneo ya mashamba, mitaji na kuwaunganisha na fursa za masoko. Ambapo utekelezaji wa…

Majaliwa: Tunataka kila mwananchi apate Kitambulisho cha Taifa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi…

Mpango afungua mkutano wa TLS Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali pamoja na wageni waalikwa wakati alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili…