JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali yafanya mapinduzi makubwa sekta ya afya

Na Catherine Sungura,WAF- Dodoma Serikali imefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya afya kwa kuweka mfumo madhubuti wa huduma za dharura na ajali kuanzia ngazi ya Taifa hadi wilaya ambapo matokeo ya uwekezaji huo ni kupunguza vifo kwa 40% ndani ya…

Le Mutuz’ afariki

Mmiliki wa ‘Le Mutuz’ Blog, William Malecela, maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere Taarifa zaidi zitakujia hivi punde

Wafugaji wanaotorosha mifugo nje ya nchi waonywa

Na Mwandishi Wetu -Jeshi la Polisi Wafugaji wanaotorosha mifugo yao kwenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu uliowekwa na Serikali wametakiwa kuacha vitendo hivyo kwani hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Wizi wa mifugo nchini…