JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

‘Nishati mbadala muarobaini wa ukataji miti kiholela’

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Bagamoyo Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa( 2023) ,Abdallah Shaib amehimiza wananchi kuongeza matumizi ya Nishati Mbadala (gesi) ,badala ya kutumia mkaa na kuni ambao huchochea ongezeko la ukataji miti kiholela. Alitoa msukumo huo ,katika…

Serikali yatoa ufafanuzi kufungiwa kwa kumbi za starehe

Serikali imetolea ufafanuzi kuhusu baa na kumbi za starehe zilizokiuka utaratibu baada ya kubainika kupiga muziki uliozidi viwango katika mikoa mbalimbali nchini na hivyo kukiuka Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004. Ufafanuzi huo umetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya…

Serikali yajipanga kuendelea kunufaika na fursa za mtangamano wa kikanda

SERIKALI ya Tanzania imejipanga kuendelea kunufaika na fursa zinazotokana na Mtangamano wa Kikanda ili kuwawezesha watanzania kufaidika na uanachama wa Tanzania katika Jumuiya mbalimbali za kikanda. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…

Serikali yaandaa mfumo wa huduma ndogo za fedha

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha na Mipango, Dionisia Mjema akifungua kikaokazi cha kuainisha mahitaji ya mfumo wa kielektroniki wa usajili na usimamizi wa Mifuko na Programu za uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kilichofanyika jijini Dodoma. Na Farida…

DC Simanjiro akagua miradi ya elimu msingi, asisitiza ubora

NA Mwandishi Wetu Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Dk. Suleiman Serera, anaendelea na ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya elimu ya msingi inayotekelezwa wilayani humo na amesisitiza ijengwe kwa ubora, kuzingatia taratibu za ununuzi na kukamilishwa kwa wakati. Katika…

TBS yateketeza shehena ya bidhaa hafifu za vipodozi na chakula Mwanza

Na Mwandishi Wetu, Mwanza Shehena ya bidhaa mbalimbali vikiwemo vipodozi vyenye viambata vya sumu zenye uzito wa tani sita zimeteketezwa baada ya kuondolewa sokoni kutokana na kutokidhi matakwa ya viwango. Bidhaa hizo zimeteketezwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika…