JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mwenge wa uhuru waridhishwa na ujenzi wa mradi wa Kongani KAMAKA

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mwenge wa Uhuru,umepitia na kuridhishwa na mradi wa ujenzi wa Kongani ya viwanda ya KAMAKA ,Disunyara, Kibaha Vijijini Mkoani Pwani, ambapo hadi kukamilika itatumia gharama ya Trilioni 3.1 na kutoa ajira 200,000. Akitembelea mradi huo,…

Ugonjwa wa shinikizo la juu la damu bado ni tishio

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugonjwa wa shinikizo la juu la damu nchini bado ni kubwa ambapo kwa wagonjwa waliotibiwa katika Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete (JKCI)tangu ilipoanzishwa Septemba 2015 hadi Aprili…

Albert Chalamila: RC staa asiyeishiwa vituko, karibu Dar

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mei 15, 2023 Rais Samia alifanya uhamisho wa wakuu wa mikoa akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makala na kumteua Albert Chalamila kuchukua nafasi yake akitokea Mkoa wa Kagera… Baada ya taarifa hiyo kutolewa…

Rais Mwinyi azindua mradi wa kuwajengea uwezo vijana

.       . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya uzinduzi wa  Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu  (SEBEP)   katika Ukumbi…

Mabula: Nataka madalali wenye weledi na staa

Na Munir Shemweta, WANMM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula ameitaka Kamati ya Uteuzi na Nidhamu ya Madalali na Wasambaza Nyaraka wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kuhakikisha madalali wanaoteuliwa wanapata mafunzo na wenye…