JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mpango mkakati wa mazingira mbioni kukamilika

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano Na Mazingira) Khamis Hamza Khamis amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha Mpango Mkakati wa kutoa Elimu kwa Umma wa miaka mitano (2022/23-2026/27) kuhusu mazingira….

Fisi wanaovamia makazi ya watu kusakwa Karatu

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mary Masanja amewaelekeza Askari wa Uhifadhi Kanda ya Kaskazini kuanza zoezi la kusaka fisi wanaovamia makazi ya watu katika Halmashauri ya Wilaya ya Karatu. Ameyasema hayo leo Bungeni jijini Dodoma…

Huduma za kibingwa za magonjwa ya moyo Kisarawe suluhisho la matibabu Kisarawe

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Abdallah Shaib,amezindua huduma za kibingwa za moyo katika hospital ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani. Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo wakati Mwenge wa Uhuru ulipopita kujionea wilaya ilivyosimamia…

CBE yaanza ujenzi wa maabara ya kimataifa kufundisha kwa vitendo

Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka wazazi nchini kuwahamasisha watoto wao kuchangamkia mafunzo ya sayansi ya vipimo na viwango kwani soko la ajira liko wazi kwa nchi za Afrika Mashariki. Hayo yamesemwa jana chuoni hapo na…

TTCL kupaisha Tanzania kimataifa kupitia utalii wa mawasiliano

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kuelekea bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kwa mwaka 2023/2024, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL),…

Rais Samia atoa salamu za rambirambi ajali ya ndege Moro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Adam Kighoma Malima kutokana na vifo vya watu wawili katika ajali ya ndege. Ajali hiyo imetokea katika kiwanja cha ndege cha Matambwe…