Category: Habari Mpya
Shaib: Rushwa inazorotesha maendeleo, Tuwafichue wanaojihusisha
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibiti Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka huu Abdallah Shaib Kaim, ameeleza licha ya juhudi za Serikali kuboresha huduma na miradi mbalimbali ,wapo baadhi ya wala rushwa wanaokwamisha na kuzorotesha juhudi hizo. Kutokana…
TAWA yabainisha jitiada za Serikali kupunguza changamoto ya wanyamapori wakali
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema kufuatia changamoto ya Wanyamapori Wakali na Waharibifu inayokabili Wilaya ya Mvomero, Serikali imechukua hatua mbalimbali mahsusi katika kuhakikisha inapunguza changamoto hiyo kwa wananchi. Hayo yamesemwa Mei 19, 2023 Wilayani Mvomero na Mhifadhi…
Shaib: Watanzania wenye uwezo wa kifedha wekezeni na kujenga viwanda
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2023 ,Abdallah Shaib ametoa rai kwa Watanzania wenye uwezo wa kifedha, kutumia fursa ya kuwekeza na kujenga viwanda ili kuongeza ajira na kuinua uchumi na pato…
Serikali kuunganisha wilaya zote na mikoa kwa lami
Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema katika kuhakikisha uchumi jumuishi unafikiwa kwa watanzania wengi Serikali imedhamiria kuziunganisha wilaya zote nchini na makao makuu ya mikoa kwa barabara za lami. Amesema hayo mjini Haydom wakati akishuhudia utiaji saini wa…
Chuo cha Bandari Dar chajiwekea mikakati
Chuo cha Bandari Dar es Salaam kimejiwekea mkakati wa kujenga chuo kikuu kingine kikubwa kitakachohudumia nchi zote zinazozunguka kusini mwa Afrika ifikapo mwaka 2024. Aidha mikakati mingine ni kuhakikisha wanaendelea kuandaa wataalamu katika sekta ya mafuta na gesi kwani chuo…