JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ujenzi daraja Wami wakamilika, JPM wafikia asilimia 72

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022/23, miradi ya barabara kuu iliyopangwa kutekelezwa ni ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara zenye urefu wa kilometa 470 pamoja na ukarabati kwa kiwango cha lami wa…

Sakata la kifo cha watoto mapacha Kaliua, watumishi wanne kufikishwa kortini

Watumishi wanne wa Kituo cha Afya Kaliua, wilayani Kaliua Mkoani hapa wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha watoto mapacha waliofariki katika mazingira ya kutatanisha baada ya kuzaliwa. Mkuu wa Mkoa huo Balozi Dkt.Batilda Burian ameeleza kuwa…

Serikali kujenga kituo maalum cha matibabu ya magonjwa ya mlipuko

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga hekali 90 kwa ajili ya ujenzi wa kituo maalumu cha magonjwa ya mlipuko (isolation center) ikiwemo ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera kutokana na mwingiliano na wananchi kutoka…

DC Kaliua awasimamisha kazi wauguzi wanaotuhumiwa kusababisha kifo cha mapacha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora Dkt Rashid Chuachua ameagiza kusimamishwa kazi Watumishi 2 wa Kituo cha Afya Kaliua wanaotuhumiwa kuzembea kumhudumia mama aliyejifungua mapacha 2 lakini wakapoteza maisha kwa kukosa huduma. DC Chuachua…

Serikali kujenga kituo maalum cha matibabu ya magonjwa ya mlipuko

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga hekali 90 kwa ajili ya ujenzi wa kituo maalumu cha magonjwa ya mlipuko (isolation center) ikiwemo ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera kutokana na mwingiliano na wananchi kutoka…