Category: Habari Mpya
Dkt.Mollel : Wezi wa dawa kuchukuliwa hatua
Na WAF- Bungeni, Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameweka wazi kuwa, Serikali imepanga kuchukua hatua kali kwa wote wataobainika kwenye upotevu wa dawa ili iwe funzo wengine wenye nia ovu ambayo inawanyima wananchi haki yao ya msingi…
NMB yaahidi kutoa bidhaa zinazokidhi mahitaji wanadiaspora
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Benki ya NMB imeahidi kutoa bidhaa zinazokidhi mahitaji ya wanadiaspora ilikuwawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za ujenzi wa Taifa. Hayo yalisemwa na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Benki ya NMB Filbert Mponzi wakati akihudhuria…
Serikali yatenga bajeti bil.15.77/- kwa TMA kwa mwaka wa fedha 2023/24
Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi katika mwaka wa fedha 2023/24 imetenga Shilingi bilioni 15.77 kwa ajili ya Bajeti ya matumizi ya kawaida ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Fedha hizo, Shilingi…
Serikali yazindua rasmi mfumo wa kidigitali kusajili Diaspora wenye asili ya Tanzania
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua rasmi mfumo wa kuwasajili Diaspora wenye asili ya Tanzania Kidigitali (Diaspora Digital Hub). Akizindua rasmi mfumo huo Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Mashariki, Mhe. Dkt Stergomena…
Shaib: Rais Samia anafanyakazi kubwa kutanua wigo sekta ya uwekezaji
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mkuranga Kiwanda cha Sapphire Float Glass (Tanzania) Company Limited, kilichopo Mkiu wilaya ya Mkuranga, Mkoani Pwani kinatarajia kuanza uzalishaji mwezi Septemba mwaka huu na kugharimu USD 311 sawa na fedha za kitanzania sh.bilioni 700. Aidha kinatarajia…