Category: Habari Mpya
TANAPA yafafanua vurugu mto wa Mbu zilizosababisha kifo cha mtu mmoja
Na Pamela Mollel, JamhuriMedia,Arusha Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) William Mwakilema ametoa ufafanuzi wa tukio la vurugu zilizotokea kitongoji cha Jangwani eneo la Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha ambazo zimesababisha mtu mmoja kupoteza…
PSSSF yatoa pole kwa waliporomoka la lift jengo la Millenium Tower Dar
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umetoa pole kwa waathirika wa hitilafu ya lifti iliyotokea katika jengo la Millenium Towers lililoko Makumbusho jijini Dar es Salaam. Katika taarifa iliyotolewa leo Mei 24, 2023 na Meneja Uhusiano…
JWTZ yaendeleza Diplomasia ya Kijeshi, yathibitisha Tanzania kisiwa cha amani
Uhakika wa amani, ulinzi na usalama ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kuishi na kuendelea na shughuli zao za maendeleo. Katika kuzingatia hilo, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kupitia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)…
Vijana 24,458 wapatiwa mafunzo ya JKT
Na Immaculate Makilika ,JamhuriMedia-MAELEZO Serikali imesema kuwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeendelea kuwapatia vijana wa Kitanzania mafunzo ya ukakamavu, stadi za kazi, kuwajengea uzalendo na umoja wa kitaifa. Ambapo, mafunzo yamefanyika kwenye kambi mbalimbali za JKT kupitia Operesheni Jenerali…
Rais Dkt. Mwinyi akutana na Waziri wa Nishati wa kwenye ziara nchini Qatar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akiwa katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Qatar akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, mapema leo asubuhi alikutana…