JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Jumuiya ,Taasisi za Kiislamu zataka sheria ya ndoa izungumzwe ngazi ya jamii

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania zimeshauri swala la sheria ya ndoa lisifikishwe bungeni na badala yake libaki kwenye majadiliano ngazi ya jamii kwa kuwa linagusa Imani za dini na sio la kisiasa. Katibu wa…

Waliohitimu kidato cha sita 2023 waitwa JKT

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limewataka wahitimu wa kidato cha sita waliohitimu elimu ya Sekondari kwa mwaka 2023 kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria kwa mwaka 2023….

Mahabusu walalamikia vitendo vya rushwa Manyara, Serikali yatoa amri

Na Lusajo Mwakabuku , JamhuriMedia, Manyara NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria Pauline Gekul ameuagiza Uongozi wa Ofisi ya Mashtaka Mkoa wa Manyara pamoja na viongozi wa Jeshi la Polisi Mkoani humo kufanya uchunguzi juu ya tuhuma zilizotolewa na mahabusu…

Serikali yaendelea kuzitafutia ufumbuzi changamoto za muungano

Katika kuhakikisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unaendelea kudumu na kuimarika, Serikali imesema inaendelea na jitihada za kuzitafutia ufumbuzi Hoja nne za Muungano zilizobaki. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geofrey Pinda kwa niaba…

NMB yawa ya kwanza kuzindua malipo kwa QR na Unionpay International

Na Mwandishi Wetu BENKI ya NMB kwa kushirikiana na UnionPay International (UPI), wamezindua suluhisho la malipo ya kimtandao kupitia QR kwa wateja wao (NMB – UPI QR Code), huduma isiyo na mipaka ya malipo kwa watalii ama wageni wanaotua nchini…