JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Edward Mpogolo kukabidhi vifaa kupimia urefu watoto na bajaji hospitali za Ilala

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imesema itaendelea na jitihada za kuhakikisha inajenga vituo vingi vya afya na kuboresha miundombinu ikiwemo vifaa tiba na usafiri ili kusaidia kila mtu anapohitaji huduma kat za afya anahudumiwa vizuri na watoa…

Nishati safi ya kupikia imebeba ajenda kubwa ya mazingira – Kapinga

๐Ÿ“Œ Ampongeza Rais Samia kinara nishati safi ๐Ÿ“Œ Awataka wananchi wa Msomera kubeba ajenda ya nishati safi ๐Ÿ“Œ Matumizi ya kuni sasa basi Msomera ๐Ÿ“Œ Serikali yagawa majiko banifu na gesi, yagharimu zaidi ya milioni 200 Na Mwandishi Wetu, Msomera…

Asilimia 4 Kati ya 67 ya watoto wanaotumia mitandao ya kijamii wamekumbana na uonevu, ukatili

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Kutokana na mapinduzi ya teknolojia ya habari na mawasiliano, Serikali imesema asilimia 67 ya watoto walio umri wa miaka 12 hadi 17 wanatumia mitandao ya kijamii ambapo, kati yao ssilimia 4 wamefanyiwa vitendo vya ukatili na uonevu…

Asilimia 16 waliopimwa wana shinikizo la damu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, IKIWA leo ni Siku ya Shinikizo la Juu la Damu Duniani asilimia 16 ya watu waliofanya uchunguzi katika kambi ya uchunguzi ya siku mbili wamegundulika kuwa na tatizo hilo. Kambi ya uchunguzi iliyoanza Mei 16 na…

DAWASA yakamilisha mradi wa Nyakahamba – Kerege Bagamoyo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji cha Nyakahamba Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani na kuwezesha…

Wananchi ‘wafunguka’ barabara za TARURA zinavyowaongezea kipato na kukuza uchumi wao – Kilolo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Wananchi wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wameishukuru serikali chini ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Barabara ya Kidabaga-Bomalangโ€™ombe ambao umeweza kuwaongezea kipato na kuwainua…