JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia agawa hekari 5,520 kwa wananchi Bagamoyo, Kibaha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Rais Samia Suluhu Hassan,amegawa ardhi hekari 5,520 kwa Wananchi wa Wilaya za Bagamoyo na Kibaha. Hayo yamesemwa na David Silinde Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakati wa makabidhiano ya ardhi  iliyokuwa sehemu…

Tanzania yaimarisha mapambano dhidi ya ugaidi, utakatishaji fedha haramu

Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau katika upelelezi, uratibu na kupambana na makosa hayo. Akizungumza mara baada…

TMA yatoa taarifa mwelekeo msimu wa kipupwe, joto kiasi

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya msimu wa kipupwe katika kipindi cha Juni hadi Agosti (JJA) 2023 ambapo kinatarajiwa kuwa na hali ya joto kiasi hadi baridi ya wastani katika maeneo mengi ya nchi. Taarifa hiyo…

Madaktari wafutiwa leseni kwa kusababisha vifo vya mama na mtoto Z’bar

Wizara ya Afya Zanzibar imewafutia leseni madaktari waliosababisha vifo vya mama na mtoto kutokana na uzembe walioufanya katika wodi ya wazazi Hospitali ya Rufaa Mnazimmoja Mei 15, mwaka huu. Akitoa taarifa kuhusiana na hatua zilizochukuliwa dhidi ya madaktari hao kwa…

Miradi yote ikamilike kabla ya mwisho wa mwaka wa fedha

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka  Wakurugenzi naWakuu wa Wilaya za Dodoma kukamilisha miradi yote kwa wakati  kabla ya kukamilika mwaka wa fedha wa 2022/2023 ambao utafikia tamati ifikapo Juni 30, 2023. Senyamule ametoa maagizo hayo leo Mei…

Idara za TAMISEMI, elimu, afya na sekta binafsi vinara malalamiko ya rushwa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU)Mkoa wa Dodoma katika utekelezaji wa majukumu yake imepokea jumla ya malalamiko 138 ambapo kati yake, malalamiko 81 yalihusu rushwa na mengine 7 taarifa zake kuhamishiwa Idara…