JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Baraza la vyama vya siasa kufanya mkutano Agosti mwaka huu

Na Mussa Augustine, JamhuriMedia Baraza la Vyama vya Siasa nchini limeazimia kufanya mkutano mkubwa wa Baraza la Vyama Vya Siasa utakaoshirikisha wadau mbalimbali wa siasa kwa ajili ya kujadili taarifa ya Kikosi kazi ambacho kiliundwa na Rais wa Jamhuri ya…

Rais Samia awataka watunza kumbukumbu kutunza siri, kuwa na nidhamu

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Makatibu Muhsusi na Watunza kumbukumbu kuwa na nidhamu, uadilifu na kutunza siriĀ  kwani ndio chachu ya maendeleo. Amesema wanapaswa kuzingatia weledi wa taaluma zao kwa kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu yao kwa kuzingatia miongozo na…

Wasira, Nyerere waeleza Mkono alivyogusa maisha yao na jamii

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media Mwanasiasa Mkongwe Tanzania ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Mazishi, Stephen Wasira ameeleza namna Nimrod Mkono alivyojitoa kwa hali na mali hata kutumia pesa zake kuwasaidia wananchi enzi za uhai wake. Wasira ameeleza…

Madaktari bingwa 10 waliokuwa India waja na shuhuda nzito kuhusu utalii tiba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo wameendelea kuongezeka katika Taasisi ya Mifupa (MOI) na kufikia 16 hali ambayo imeendelea kuifanya Tanzania kuwa kivutio cha utalii tiba Kusini mwa Jangwa la Sahara. Madaktari hao walikuwa India kwa…