JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

ATE yazindua mchakato wa tuzo ya mwajiri bora wa mwaka 2023

Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka imeendelea kuwa tukio muhimu linalotambulika katika ngazi ya kitaifa ambapo kwa miaka kadhaa sasa tuzo hizi zimehamasisha Waajiri kuweka sera bora za ajira na usimamizi wa rasilimali watu. Pia tuzo hizi zimeweza kuchochea na…

Mkutano wa IORA kuchochea uchumi wa buluu

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa mwezi Novemba 2022, Wizara yake iliratibu na kushiriki katika Mkutano wa 22 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya…

Ripoti ya APRM kuwasilishwa kwa wakuu wa nchi na Serikali 2024

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imeeleza kuwa Mpango wa Hiari wa Afrika wa Kujitathmini katika Masuala ya Demokrasia na Utawala Bora (APRM) nchini Tanzania imekamilisha taratibu za kuwasilisha Ripoti ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa APRM (2014 – 2029)…

Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam chatoa mbinu za kukabiliana na majanga ya mto

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi-Dar es salaam Chuo cha Taaluma ya Polisi Dae es Salaam (DPA) kimeendelea kutoa elimu na mafunzo mbalimbali kwa maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali katika kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapotokea. Akitoa…