JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Waziri Tax afanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini, Andrey Avetisyan katika ofisi za Wizara Jijini Dodoma leo Mei 31, 2023. Katika mazungumzo hayo, viongozi…

Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa TLP kufanyika Juni 18,2023

Mhandisi Aivan Maganza ambaye ni Mwenyekiti wa Vijana wa Chama Cha Tanzania Labour Party  (TLP), amesema kuwa uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti chama hicho ngazi ya taifa utafanyika Juni 18, 2023.  Akizungumza na waandishi wa habari jijini katika Makao Makuu ya…

Tanzania na Kenya zajadiliana uimarishaji mpaka wa kimataifa

Na Munir Shemweta, Jamhuri,Media, Arusha Tanzania na Kenya ziko katika kikao cha majadiliano ya kuendelea na kazi kuimarisha mpaka wa kimataifa wa nchi hizo mbili kipande cha awamu ya tatu cha kutoka Namanga mkoani Arusha hadi Tarakea Kilimanjaro. Kikao hicho cha…

Serikali yateketeza hekari 101 na magunia 482 ya bangi Arusha

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ( DCEA), imeteketeza jumla ya hekari 101 za mashamba ya bangi sawa na kiasi ya kilo 550 za bangi mbichi pamoja na magunia 482 ya aina hiyo ya dawa za kulevya…

Serikali yawatoa hofu wananchi kushindwa majaribio ya treni

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imewatoa hofu Watanzania kuhusu muda wa kuanza kwa majaribio ya treni ya abiria kwa kipande Cha kwanza Cha reli ya kisasa ya SGR kutoka Dar Es Salaam hadi Morogoro na kueleza kuwa haijadanganya bali…

IFC yazindua programu ya jinsia ‘ANAWEZA’

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma. Katika kuwezesha wanawake kiuchumi, Serikali kwa kushirikiana na Taasisi ya Benki ya Dunia (IFC) imezindua programu mpya ya Jinsia “ANAWEZA” itakayo tekelezwa kwa miaka mitano na kugharimu zaidi ya Dola za kimarekani milioni 10. Akizungumza leo…