Category: Habari Mpya
TSC kuwasaidia walimu kuielewa sheria ya Tume wa Walimu sura 448 na kanuni zake
Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Katavi anayeshughulikia elimu, Mwl. Pendo Rweyemamu akitoa neno wakati wa kikao kazi cha kupitia rasimu ya ufafanuzi wa Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu Sura 448 na Kanuni zake za mwaka 2016. Kikao…
Chikota ataka kasi usambazaji wa gesi asilia majumbani
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota ameshauri serikali kuendelea kutenga fedha kwa ajili ya usambazaji wa nishati ya gesi asilia majumbani ili kupunguza matumizi ya kuni kwa wakazi wa Lindi na Mtwara. Chikota akichangia hotuba ya…
Mtatiru aishukia Serikali mradi wa umeme wa upepo
Na.Mwandishi Wetu-DODOMA Mbuge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameiomba serikali kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika katika Wilaya ya Manyoni na Ikungi zilizopo Mkoani Singida ili kuondoa adha ya kukatika mara kwa mara katika maeneo hayo. Mbunge Mtaturu ametoa ombi…
Rais kuongoza Watanzania kupokea ndege mpya ya mizigo
Serikali inatarajia kupokea ndege ya kwanza ya kusafirisha mizigo aina ya Boeing 767 -300 mnamo tarehe tatu Juni itakayokwenda kutatua changamoto za usafirishaji wa mizigo kwa wafanyabiashara nchini. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Juni 1,2023 Jijini Dar es Salaam,…
Majaliwa: Rais Samia Dkt.Samia atoa vibali ajira sekta ya afya
Na Lilian Lundo, JamhuriMedia-MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa vibali kwa Wizara ya Afya na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuajiri watumishi wa sekta ya afya ili kuwapeleka katika zahanati, vituo vya afya…
Serikali kutumia trilioni 4.20 ujenzi vituo vya kupoza umeme kila wilaya
Na Jacquiline Mrisho, JamhuriMedia- MAELEZO Mradi wa Ujenzi wa Vituo vya Kupoza Umeme katika kila wilaya nchini unakadiriwa kutumia jumla ya shilingi trilioni 4.20 ambazo zitatolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio…