JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Sayansi na Teknolojia kuchochea maendeleo nchini

Na Immaculate Makilika , JamhuriMedia, MAELEZO Serikali imesema kuwa imejipanga kuhakikisha sayansi na teknolojia inatumika ili kuleta chachu katika maendeleo nchini. Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo Jijini Dar es Salaam, kuhusu Kongamano la Kitaifa la Nane la…

Majaliwa:Watendaji wa Serikali zingatieni sheria

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa idara na taasisi zote za Serikali watekeleze majukumu yao kwa kuzingatia sheria hususan katika huduma wanazozitoa na miradi wanayoisimamia ili kuiepusha Serikali kuingia katika migogoro ambayo inaweza kuepukika. “Watendaji wote wa Serikali zingatieni…

TMA yatoa angalizo ya mvua kubwa

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), imetoa angalizo ya siku mbili  ya kunyesha kwa mvua kubwa  kwa baadhi ya maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani (Visiwa vya Mafia ,Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba)….

Watano wafariki, 20 wajeruhiwa Morogoro

Watu watano wamefariki na wengine 20 kujeruhiwa baada ya gari walilokua wakisafiria  Toyota  Coaster yenye namba za usajili T .938 DVQ Lilikua linatokea mkoani Mbeya kuelekea Dar es Salaam  kugongana  na lori la mzigo lenye namba za usajili  T. 693…

Mwalimu ahukumiwa kwa kutafuna sh.200,000 za uchaguzi mkuu 2015

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Mwalimu wa shule ya msingi Chipukizi Kata ya Igunga wilayani Igunga Mkoani Tabora Andrew Rutabagisha (41) ametiwa mbaroni na Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wilayani hapa baada ya kukutwa na kosa la wizi wa fedha za uchaguzi…

Mpango aitaka NEMC kuongeza nguvu kusimamia katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amelitaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa kote nchini kuongeza nguvu zaidi katika kusimamia utekelezaji wa katazo…