JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Fedha za kulipa deni la serikali zaongezeka kutoka Tril 9.1 hadi Tril 10.4

Serikali imeongeza fedha kwa ajili ya kulipa madeni kutoka Sh9.1 trilioni mwaka 2022/23 hadi Sh10.4 trilioni kwa mwaka 2023/24. Hayo yamesemwa leo Juni 7, 2023 na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na…

TPA yakanusha upotoshaji, yafafanua ujio wa DP World Tanzania

Na Mwandishi wetu Jmhuri Media Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) baada ya taarifa zilizosambaa kuhusu bandari ya Dar es Salaam kutaifishwa huku imewataka Watanzania kupuuza taarifa za upotoshaji huo zinazodai kwamba serikali imepanga kuipa kampuni ya DP World…

Serikali yaagiza waliovamia Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo kuondoka haraka

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Serikali imewaagiza wananchi takriban 5,000 waliovamia Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo( RAZABA) ,kuondoka mara moja katika eneo hilo na kuikabidhi Wakala wa Usimamizi wa Misitu Tanzania TFS kulisimamia. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa…

Mifuko ya plastiki yapigwa marufuku kuingia Muhimbili

Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa watoa huduma na ndugu wa wagonjwa katika mazingira ya hospitali (Upanga na Mloganzila) ikiwemo wodini na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma. Kwa mujibu wa taarifa kwa…

DP World kuleta mageuzi makubwa bandari ya Dar es Salaam

* Iko kwenye nchi karibu 50 duniani, ikiwemo nchi 10 za Afrika * Inaendesha bandari kwenye mataifa makubwa duniani, ikiwemo Marekani, China, Ujerumani, Ufaransa na Canada * Kwa Afrika, wapo Nigeria, Afrika Kusini, Rwanda, Misri, Msumbiji na nchi nyingine Na…