JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mawakili wa Serikali watakiwa kutatua migogoro kwa njia ya majadiliano

Mawakili wa Serikali wametakiwa kutatua migogoro kwa njia ya majadiliano na usuluhishi ili kutengeneza mazingira mazuri yatakayowavutia wawekezaji kuja kuwekeza nchini. Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Mary Makondo,wakati akifunga mafunzo ya siku tatu…

Mashirika waadhimisha Siku ya Bahari Duniani Dar

 NA Andrew Chale, JamhuriMedia Shirika lisilo la Kiserikali la Utamaduni na Maendeleo Afrika Mashariki [Culture and Development East Afrika] –CDEA kwa kushirikiana na mashirika mengine ya FIDEC na EMEDO wamefanya maadhimisho ya siku ya bahari duniani leo Juni 8,2023, iliyokuwa…

Kibajaji amjia juu Mbowe

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma, Livingstone Lusende amemjia juu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)Freeman Mbowe kwa kitendo cha kudai Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa…

TANAPA yazitendea haki fedha za Samia

Arusha Na Mwandishi Wetu Jamhuri Media Arusha Fedha zilizotolewa na serikali kupambana na athari zilizoletwa na ugonjwa wa virusi vya korona (Uviko – 19) nchini kwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), zimesababisha ongezeko la idadi ya watalii. Mwaka jana,…

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi kongamano la viongozi wa dini

Na Mussa Augustine. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano kubwa la aKitaifa la kuwajengea uelewa viongozi wa dini mbalimbali kuhusu athari zitokananzo na sauti zilizozidi Viwango katika Nyumba…