JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia afanya uteuzi mwingine

Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu).  Mhandisi Mativila alikuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS). Amemteua Mhandisi Mohamed Besta kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).  Mhandisi…

Muuguzi adaiwa kubaka mjamzito hospitalini Tabora, uchunguzi umekamilika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Jeshi ka Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia muuguzi wa hospitali ya Wilaya ya Sikonge kwa tuhuma za kubaka mama mjamzito aliyekuwa amelazwa hospitalini hapo. Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Richard…

Senyamule aagiza Chemba kujipanga upya

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi katika Kijiji cha Magungu, Kata ya Mpendo, Wilaya ya Chemba na kukemea vikali uongozi wa Kijiji kukusanya fedha…

Tanzania yazindua ubalozi wake Austria

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua rasmi Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini Vienna nchini Austria. Akizungumza katika uzinduzi huo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…

Marekani yatenga fedha kupambana na UKIMWI nchini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amesema Serikali ya Marekani kupitia Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na Ukimwi (PEPFAR) imetenga dola za Marekani milioni 450 kwa ajili…