Category: Habari Mpya
Taasisi za Umma zatakiwa kuendesha vikao vyake kwa mfumo wa e-mkutano
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma. Meneja Mawasiliano Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), Subira Kaswaga, amezitaka Taasisi za Umma nchini kuendesha vikao kidijitali kwa kutumia mfumo wa e-Mikutano ili kupunguza gharama za uendeshaji. Kaswaga ametoa leo June 13,2023 Jijini hapa wakati akizungumza na…
Othman: Tumalize migogoro kwa maslahi ya wananchi
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ametoa maagizo kwa Uongozi wa Wilaya ya Micheweni Pemba, kusimamia utatuzi wa haraka wa Mgogoro wa Msitu wa Kijiji cha Shumba Mjini. Othman ameyasema hayo leo, huko katika Ukumbi wa…
Dkt. Slaa aunga mkono uwekezaji ,aishauri Serikari kurekebisha dosari mkataba wa DP World
Balozi Willibrod Slaa ameunga mkono uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam, lakini ameishauri Serikali kurekebisha kasoro zinazolalamikiwa kwenye mkataba wa uwekezaji na kampuni ya DP World ya Dubai. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Slaa…
Biteko asisitiza kukamilika jengo la madini wa wakati Dodoma
Mkandarasi wa Jengo Jipya la Wizara ya Madini Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ametakiwa kuongeza kasi ili kukamilisha jengo hilo kwa wakati. Rai hiyo, imetolewa leo Juni 13, 2023 na Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko wakati wa ukaguzi…
Kunenge azindua zahanati kwenye kituo cha yatima kinachoendeshwa na Anna Mkapa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakari Kunenge amezindua Jengo la Zahanati kwenye Kituo cha watoto yatima Kibaha Children Village Center kilichopo Mtaa wa Simbani Halmashauri ya Mji Kibaha. Kituo hicho kina Jumla ya watoto 16 ambapo…