JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia:Serikali itajenga maghala ya chakula nchi nzima

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imepanga kununua chakula na kuweka akiba katika maghala kwa kiasi cha tani laki tano kwa mwaka huu ikilinganishwa na tani laki mbili na hamsini kwa mwaka uliopita. Rais…

NEC yatangaza uchaguzi mdogo wa kata 14

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika Kata 14 za Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 13 Julai mwaka 2023. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ramadhani Kailima amesema uchaguzi huo unafanyika…

Ubungo washirikiana na Hananja kongamano la kuchangia damu kwa hiari

Na Mussa Augustine, JamhuriMedia Taasisi ya Hananja Compasion Foundation kwa Kushirikiana na Manispaa ya Ubungo inatarajia  Juni 24 Mwaka huu kwa ajili ya Kuhamasisha Wananchi kuchangia Damu kwa hiari huku Mgeni Rasmi akitarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Hashim Komba….

Zaidi ya bil.230/- zinavyotekeleza miradi ya TANROAD Ruvuma

Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 230 kutekeleza miradi mbalimbali ya kitaifa ya Barabara na madaraja mkoani RuvumaMeneja wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma,Mhandisi Ephatar Mlavi amesema kati ya fedha hizo zaidi ya shilingi bilioni 129 zimetumika kujenga Barabara ya lami…

Jeshi la Polisi nchini, IAA waandika historia mpya

Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) na Jeshi la Polisi Tanzania (TPF) kupitia Shule ya Polisi-Moshi wamezindua rasmi ushirikiano wa kitaaluma, uzinduzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki,katika Chuo Cha Polisi Moshi. Akizindua rasmi ushirikiano huo Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini…