Category: Habari Mpya
Halmashauri Songea yapokea bilioni tatu kutekeleza miradi ya elimu
Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma imepokea zaidi ya shilingi bilioni tatu kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya elimu. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Neema Maghembe amesema kati ya fedha hizo Halmashauri imepokea fedha zaidi…
Fountain Gate yainunua Singida Big Stars
Klabu ya Singida Big Stars kwasasa inajulikana kama Singida Fountain Gate baada ya matajiri wa Fountain Gate kuinunua klabu hiyo. Singida Big Stars inashiriki ligi kuu Tanzania bara ‘NBC’ ikimaliza msimu katika nafasi ya nne na kukata tiketi ya kushiriki…
Siku ya mchangiaji damu, Yanga yachangia chupa za Damu 627
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Ikiwa ni siku ya mchangia damu Duniani Klabu ya Yanga imerudisha shukrani kwa jamii kwa kuchangia chupa 627 za damu na kuzitaka timu nyingine kuiga mfano huo kuokoa maisha ya watanzania. Akizungumza leo June 14,2023…
MNH yawezesha uanzishwaji wa kliniki ya Himofili na selimundu Kigoma
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Dkt. Jesca Leba ameishukuru Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kuwezesha upatikanaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma – Maweni. Dkt. Jesca ambaye alimuwakilisha Mkurugenzi wa…