JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali yaeleza sababu zilizosababisha mfumuko wa bei nchini

Serikali imesema kuwa kuna mambo matatu yaliyosababisha mfumuko wa beo na kupanda kwa gharama za bidhaa zinazoagizwa nje ya nchi. Hayo yamebainishhwa leo Juni 15, 2023 na Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba,wakati akiwasilisha bungeni hali ya uchumi…

Tanzania yawakaribisha wawekezaji kutoka Urusi

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na…

Hospitali ya Muhimbili-Mlogazila yawawekea puto wagonjwa 87

Na Mwandishi Wetu , JamhuriMedia, Dodoma Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila imeendelea kuboresha huduma zake za kibingwa ya kibobezi ambapo hadi sasa imeweza kuwawekea puto (Intragastric ballon) wagonjwa 87, tokea kuanza kwa huduma hiyo hivi karibuni hapa nchini. Hayo yamebainishwa…

Mpango afanya mazungumzo na mkuu wa Taasisi ya Korea ya Bahari

– Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Taasisi ya Bahari ya Korea (Korea Maritime Institute) Dkt. Kim Jong-Deog, Mazungumzo yaliofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 15 Juni…