JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watendaji watakiwa kutoa fursa kwa wamiliki wa ardhi kwa wawekezaji

Watendaji wa Serikali wametakiwa kutoa fursa kwa wamiliki wa ardhi kunufaika na maeneo wanayomiliki pindi wawekezaji wanapohitaji ardhi kwa ajili ya uwekezaji. Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 16, 2023 bungeni wakati akiwasilisha…

Muhimbili, Namibia kushirikiana kujenga uwezo wa utoaji huduma za kibingwa

Hospitali ya Taifa Muhimbili imeahidi kushirikiana na nchi ya Namibia katika kujenga uwezo wa utoaji huduma za kibingwa na bobezi kwa wataalamu wa afya nchini humo. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi…

Chongolo afunguka sakata la bandari

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amefunguka kuhusu upanuzi na uendelezaji wa huduma za bandari Tanzania ambapo amesema mradi huo una manufaa kwa maendeleo ya Taifa huku akisisitiza nchi inapaswa kusimama imara katika masuala ya msingi. Amesisitiza…

Miradi 293 yasajiliwa na kuongeza uwekezaji nchini

Serikali imesema kuwa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kwa mwaka 2022 kimesajili miradi 293 ikilinganishwa na 256 iliyosajiliwa mwaka 2021, sawa na ongezeko la asilimia 14.5. Hayo yamebainishwa leo Juni 16, 2023 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu…