Category: Habari Mpya
Wakulima wa ufuta Tunduru waingiza bil.10.5/- kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani
Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Tunduru Wakulima wa ufuta katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wameingiza zaidi ya shilingi bilioni 10.5 baada ya kuuza tani 1626 za ufuta katika minada mitatu iliyofanyika kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani, Hayo yamesemwa na Afisa Ushirika…
Bajeti kuu ya Serikali yawasilishwa Bungeni
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imewasilisha bajeti yake kuu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 huku ikianisha vipaumbele mbalimbali ikiwemo kuondoa ada kwa wanafunzi wa kidato cha nne ambao watakuwa wakichaguliwa kujiunga na Vyuo vya ufundi pamoja na kuondoa kodi…
Vifo vya uzazi kwa mama na mtoto vyapungua Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Vifo vya uzazi kwa mama Mkoani Pwani vimepungua kutoka vifo 96 kwa mwaka 2018 kati ya akinamama waliofika vituoni 43,488 hadi kufikia vifo 35 kwa mwaka 2022 kati ya akinamama 56,439. Aidha Vifo vya watoto…
Rais Dkt.Mwinyi azungumza na ujumbe wa UNESCO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi Mkaazi wa UNESCO Kanda ya Afrika Mashariki Prof. Hubert Gijzen (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo…
Mwigulu aeleza hali ya uchumi, pato mtu mmoja mmoja laongezeka
Serikali kupitia Waziri wa Fedha na Mipango Dk.Mwigulu Nchemba ametoa taarifa ya hali ya uchumi wa nchi ambapo amesema kwa hali ilivyo inaendelea kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati ngazi ya chini. Ameyasema hayo leo Juni 15, 2023…