Category: Habari Mpya
Chongolo: Tukichezea vyanzo vya maji, tunachezea uhai wetu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwemo wakuu wa Wilaya, wenye viti wa Serikali za mitaa na watendaji wa vijiji kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika kutunza vyanzo vya maji na uhifadhi wa mazingira….
Polisi Arusha wakamata ng’ombe 319 walioibiwa
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini limesema kuwa katika kipindi cha mwezi juni mwaka huu limefanikiwa kukamata mifugo 319 iliyokuwa imeibiwa maeneo mbalimbali hapa nchini. Akitoa taarifa…
Polepole awasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Cuba
Humphrey Hesron Polepole Balozi na Mkuu wa Kituo cha Uwakilishi – Havana Nchini Cuba amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Miguel Díaz-Canel Bermúdez Rais wa Jamhuri ya Cuba. Baada ya kuwasilisha hati Balozi Polepole amekuwa na mazungumzo mafupi ambapo amempa salamu…
Ndumbaro atatua mgogoro uliodumu kwa miaka nane Shinyanga
……………………………………………………………………….. Waziri wa Katiba na Sheria nchini Dkt. Damas Ndumbaro amefanya ziara ya kikazi mkoani Shinyanga kwa lengo la kukagua utekelezaji wa kampeni ya huduma ya msaada wa kisheria inayojulikana kwa jina la Mama Samia legal Aid Campaign. Akizungumza wakati…
Serikali yatenga bil.5/- kugharamia huduma za kibingwa
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 5 kwa ajili ya kugharamia huduma za upasuaji na matibabu ya ubingwa bobezi ili kurahisha upatikanaji wa huduma hizo kwa Watanzania wenye hali zote. Waziri Ummy amesema hayo kwenye ufunguzi…