JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Abiria watano wa basi la Newforce wafariki Njombe

Basi la Kampuni ya Newforce lenye namba za usajili T. 173 DZU lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Rukwa limepata ajali katika eneo la kijiji cha Igando mkoani Njombe na kusababisha vifo vya watu watano huku wengine wakijeruhiwa….

Wamteka mtoto na kutaka walipwe mil.50/- Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Katavi Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kumteka mtoto mdogo wa (9) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya Msingi Mizengo Pinda katika Manispaa ya Mpanda na kisha kumfungia…

Tanzania kufungua rasmi ofisi za ubalozi Indonesia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewasili Jakarta nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya kikazi, ikiwa ni pamoja na kufungua rasmi Ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini…

Serikali kuangalia upya ajira za walimu

……………………….. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) , Prof. Adolf Mkenda (mb) amesema kuwa suala la kuangalia upya ajira za walimu ni maboresho ya Sera za Kitaifa toka kwa wadau ili kudhibiti ubora wa sekta ya elimu nchini, leo…