JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

‘Fichua wakwepa kodi,upate asilimia tatu’

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia ,Arusha Ili kuhakikisha kodi ya Serikali inatozwa pasipokuacha mianya ya ukwepaji, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), imekuja na sheria ya kutoa kamisheni ya asilimia tatu kwa mtu atakayefanikisha kupatikana kwa kodi iliyokwepwa. Akizungumza kwenye semina ya…

KOFIH yadhamiria kupunguza vifo vya uzazi na watoto wachanga Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani Halmashauri tisa ,mkoani Pwani zinatarajia kunufaika na awamu ya pili ya mradi unaofadhiliwa na Korea Foundation For Health Care (KOFIH ),mradi ambao unaolenga kupunguza vifo vya uzazi kwa mama na mtoto mchanga. Mradi huu unatarajia kutekelezwa…

RC Mara ataka Halmashauri Tarime Vijijini kutumia pesa za mapato ya ndani kumalizia viporo vya miradi

Na Helena Magabe , JamhuriMedia, Tarime Mkuu wa Mkoa wa Mara Said Mtanda ameishauri Halmashauri ya Tarime vijijini kutumia mapato ya ndani kumalizia miradi viporo ili ikamilike na kutumika. Hayo ameyasema hayo Juni 21,2023 katika kikao cha Baraza la Madiwani…

Jaji Mahakama ya Afrika asisitiza usawa kijinsia

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia,Arusha Tafiti mbalimbali zilizofanywa nchini zimethibitisha kuwa sekta ya habari kwa kipindi kirefu imekuwa ikiongozwa na wanaume zaidi na pia maudhui ya vyombo hivyo bado hayajazingatia vya kutosha sauti za wasio na sauti ambao ni wanawake na…

Mtaturu akemea tabia ya watu wanaoita wenzao chawa

Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amesema watanzania wana kila sababu ya kumpa maua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi nzuri aliyofanya katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wake. Aidha ,amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaoita wenzao…

RC Ruvuma atoa maagizo 20 kwa halmashauri mbili zilizopata hati zenye mashaka

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ametoa maagizo 20 kwa Halmashauri mbili zilizopata hati zenye mashaka ili ziweze kubadilika na kurejea kwenye hati safi. Kanali Thomas ametoa maagizo hayo kwa nyakati tofauti katika Halmashauri za…