Category: Habari Mpya
RC Kunenge: Miradi kuendelea kuwa viporo ni hasara kwa Serikali
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge ameiagiza Halmashauri ya Bagamoyo,kuhakikisha inayaendeleza maboma ya miradi iliyokwama yenye thamani ya Bilioni 1.2 ,kwani kwa kuendelea kubaki viporo ni hasara kwa Serikali. Aidha ameitaka Halmashauri hiyo…
Halmashauri tatu Songea zapata hati safi
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezipongeza halmashauri tatu katika Wilaya ya Songea kwa kupata hati safi kwenye matokeo ya ukaguzi wa CAG unaoishia Juni 2022. Halmashauri zilizopata hati safi katika wilaya ya…
TAKUKURU Kilindi yawafikisha mahakamani watumishi wa halmashauri
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga, imewafikisha katika mahakama ya Wilaya ya Kilindi watumishi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi waliopewa kazi ya ukusanyaji wa mapato kwa kutumia mashine za POS. Waliofikishwa…
Wanawake watano wafanyiwa upasuaji kupitia matundu madogo
Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na wataalamu wa Alsalam Internatinal Hospital ya nchini Misri, imefanya kambi ya upasuaji wa kupitia matundu madogo (Laparoscopy surgery) kwa muda wa siku mbili, ambapo wanawake watano wamenufaika na matibabu hayo. Akizungumza wakati wa…
FCF kutumia bil.1.2/-kusaidia miradi ya maendeleo na kutoa chakula shuleni
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Arusha Taasisi ya Friedkin Conservation Fund(FCF) imepanga kutumia kiasi cha sh 1.2 bilioni ili kugharamia miradi ya maendeleo ya jamii, ikiwepo ya Elimu na Afya ambayo haikinzani na uhifadhi wa wanyamapori na Misitu, wilayani Meatu…