JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

PPRA yatambulisha rasmi mfumo wa NeST utakaodhibiti ununuzi mtandaoni

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma. Mamlaka ya Udhibiti wa Unusual wa Umma (PPRA) imetambulisha rasmi mfumo wake mpya wa ununuzi wa Umma wa kielektroniki ujulikanao kama NeST ili kudhibiti ununuzi wa Umma unaozingatia uwazi. Hayo yameelezwa leo Juni 23,2023 jijini Dodoma…

Simbachawane ataka Taasisi za Umma kuwa na mikataba ya huduma kwa wateja

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora,imezindua mikataba ya huduma kwa wateja kwa Taasisi za umma huku ikitoa maagizo kwa taasisi zote za umma nchini kuwa na mikataba ya…

Polisi Pwani watoa huduma za matibabu kwa watoto

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kupitia kikosi cha Afya, Leo Juni, 23 wametoa huduma ya matibabu kwa watoto yatima wa kituo cha Buloma Foundation kilichopo Picha ya ndege, Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani. Watoto…

Polisi kutoka Ujerumani, Thailand wabadilishana uzoefu masuala ya Polisi jamii

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi-Dar es Salaam Askari Polisi kutoka Ujeruman na Thailand wametoa uzoefu wao katika maswala ya Polisi jamii na namna ambavyo wanatoa huduma kwa jamii katika mataifa hayo ambayo yamejikita zaidi katika maswala ya Polisi…

RC Kunenge: Miradi kuendelea kuwa viporo ni hasara kwa Serikali

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge ameiagiza Halmashauri ya Bagamoyo,kuhakikisha inayaendeleza maboma ya miradi iliyokwama yenye thamani ya Bilioni 1.2 ,kwani kwa kuendelea kubaki viporo ni hasara kwa Serikali. Aidha ameitaka Halmashauri hiyo…