Category: Habari Mpya
Bilionea wa Microsoft atembelea Tanzania
Na Mwandishi wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Mmoja wa wanahisa wa kampuni mashuhuri duniani ya Microsoft na akihudumu kwa miaka 14 kama Mtendaji Mkuu wa Masuala ya Teknolojia katika kampuni hiyo maarufu duniani, Dkt. Nathan Myhrvold, leo Juni 25,…
Wanafunzi Mkuranga kunufaika na mkakati wa lishe bora shuleni
Na Mwamvua Mwinyi, JAMHURI MEDIA Chalinze Lishe bora ni suala muhimu kwa afya ya binadamu, na ni kichocheo cha maendeleo ndani ya jamii. Katika sekta ya elimu ,lishe ni suala mtambuka ambalo linachagiza wadau wa elimu, wazazi,walezi na jamii ,kuchangia…
Ukosefu wa ofisi za madini Tarime, changamoto kwa wachimbaji
Na Helena Magabe, JAMHURI MEDIA Tarime. UKOSEFU wa ofisi za madini Wilayani Tarime ni changamoto kubwa kwa wachimbaji na wamiliki wa mashimo ya dhahabu. Licha ya kuwa Wilaya hii imejaliwa na Mwenyezi Mungu kuwa na madini ya dhahabu karibia kila…
Jafo awakumbusha Watanzania kutunza mazingira
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Selemani Jafo, akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuongoza zoezi la upatandaji miti lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Dodoma ikiwa ni sehemu…
IGP mstaafu Mwema azindua kitabu chake kinachozungumzia utawala na usimamizi wa sheria
Na Abel Paul wa Jeshi la Polis -Dar es Salaam Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (mstaafu,) Tanzania IGP Said Ally Mwema jana june 23,2023 amezindua kitabu alichokiandika chenye Sura Tisa na kichwa cha habari kisemacho POLISI,UTAWALA NA USIMAMIZI WA…
Yanga yamtambulisha kocha mkuu mpya
Timu ya Yanga SC imemtambulisha rasmi Kocha Mkuu, Miguel Angel Gamondi kuinoa timu hiyo msimu ujao akichukua nafasi ya Nasreddine Nabi aliyemaliza mkataba wake. Kocha huyo raia wa Argentina ametambulishwa leo Juni 24 na Ofisa Habari wa Klabu hiyo, Ally…