Category: Habari Mpya
Wahariri wapewa mafunzo ya sheria na kanuni za ulinzi kwa watoa taarifa na mashahidi
………………………………………………………………………………………………………………………………….. Na Lusajo Mwakabuku,JamhuriMedia,Singida Wizara ya Katiba na Sheria imeendesha mafunzo kwa wahariri na wanahabari waandamizi wa vyombo mbalimbali vya habari juu ya Sheria ya kuwalinda Watoa Taarifa za Uhalifu na Ulinzi wa Mashahidi, Sura ya 446 (The Whistleblower and…
Rais Samia aitaka jamii iwajibike katika malezi ya watoto
Na Mwandishi wetu JAMHURI MEDIA, Arusha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu ametoa wito kwa wazazi, walezi pamoja na jamii kuwajibika katika kufuatilia mienendo ya watoto ili kubaini mabadiliko hasi ya kitabia yanapojitokeza. Rais Samia amesema hayo…
Rais Samia apewa tuzo kwa mchango wake katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Arusha PACHA:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa Tuzo na Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Tuzo hiyo imetolewa leo Juni 25,2023 kwa Rais Samia ikiwa…
Abate achangia mil.25/-ujenzi nyumba ya mwalimu madrasa Namtumbo
Na Cresensia Kapinga, Namtumbo. Abate wa Abasia ya hanga jimbo kuu katoriki la Songea mkoani Ruvuma amechangia kiasi cha Sh. Milioni 25 kwaajili ya ujenzi wa nyumba ya mwalimu wa Madrsa katika kijiji cha Mtakanini kilichopo Wilayani Namtumbo mkoani humo….
Mo Dewji apata tuzo, amwaga sifa kwa Rais Samia
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam. Mfanyabiashara Mohammed Dewji, maarufu ‘Mo’, amesema mazingira rafiki yaliyowekwa na Rais Samia Suluhu Hassan yamechochea maendeleo ya viwanda na kuchochea biashara Mo pia ameshinda tuzo ya Afrika ya mzalishaji bora wa bidhaa…