JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wasomi na wanazuoni watoa dira kwa Polisi katika mabadiliko ya teknolojia na uhalifu

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi-Dar es Salaam Wasomi na wanazuoni wameliomba Jeshi la Polisi kuendana na mabadiliko ya duniani ya sasa ambayo imejikita zaidi katika tehama na tafiti ambazo zitaleta tija katika jamii na Taifa kwa ujumla husasani…

Odinga kuongoza maandamano dhidi ya Serikali ya Rais Ruto

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anatarajiwa kuongoza maandamano nchini Jumanne. Haya yanajiri baada ya Rais William Ruto kutia saini mswada Fedha 2023 na kuufanya kuwa sheria. Kuporomoka kwa mazungumzo ya wanachama 14 ya pande mbili kati ya masuala mengine ndio…

Jamii yatakiwa kuwekeza kwenye afya ya mtoto kuchochea uchumi wa nchi

Na Dotto Kwilasa, Jamhurimedia ,Dodoma Asilimia 66 ya watoto kuanzia umri wa siku 0 hadi miaka 8 katika jangwa la Sahara wanakabiliwa na kutokuwa na utimilifu wa akili jambo ambalo linaweza kusababisha kuwa na watu ambao hawawezi kuwa na uhakika…

Wakulima wapewa elimu ya usawa wa kijinsia

Na Rahma Khamis, JamhuriMedia, MAELEZO Wajasiriamali wa kilimo cha mboga mboga mboga na matunda wametakiwa kushiriki katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo ili kujikwamua kiuchumi. Akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwelewa wakulima wa viungo mboga mboga na matunda kuhusiana na…

Serikali yawatahadharisha wananchi Iringa kutembea usiku

Serikali imewatahadharisha Wananchi Mkoani Iringa kuacha kutembea usiku ili kuepukana na madhara ya kuvamiwa na Simba walioingia katika makazi ya watu. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ameyasema hayo leo jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la…