JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali: Teknolojia na ubunifu ni muhimu kuchagiza maendeleo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam SERIKALI imesema teknolojia na ubunifu ni muhimu katika kuchagiza maendeleo katika Taifa. Pia imesema itahakikisha inakuza sayansi, teknolojia na ubunifu nchini , kwalengo la kuchagiza maendeleo na kusaidia kufanyika kwa tafiti zinazojibu changamoto…

Tanzania yaunga mkono uamuzi wa SADC – Majaliwa

Ni kuhusu mbinu za uvunaji wa maji na udhibiti wa mafuriko WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania inaunga mkono uamuzi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) juu ya kuongeza mbinu za uvunaji wa maji, udhibiti wa mafuriko…

Harmonise kuzindua ‘ muziki wa Samia album Mei 25’ Dar

Na Magrethy Katengu,Jamuhuri Media Dar es Salaam Mwimbaji bongo fleva jina halisi Rajab Abdul hupendelea kujiita pia” Konde Boy” Staa Harmonize Mei 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam ambayo ameipa…

Agri Connect yaongeza mnyororo wa thamani wa mazao Mufindi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mufindi Imeelezwa kwamba kukamilika kwa ujenzi wa Barabara ya Km. 30.3 kutoka Sawala -Mkonge- Iyegeya uliogharimu shilingi bilioni 12.17 kupitia mradi wa Agri- Connect unaofadhiliwa na Jumuiya ya Ulaya (EU) umeongeza mnyororo wa thamani wa mazao…

Urambo , Kaliua wafanya kikao cha ujirani mwema kupitia upya mipaka ya kiutawala – DED Grace

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Kaliua Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora Grace Quintine amesema wamefanya Kikao cha Ujirani mwema na Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua ili kupitia upya mipaka ya Kiutawala kati ya Wilaya ya Urambo…